Posts

RESHAPING INDUSTRIES WITH AI:HUAWEI CLOUD LAUNCHES PANGU MODELS 3.0 AND ASCEND AI CLOUD SERVICES

Image
Zhang Ping'an, Executive Director of Huawei and CEO of Huawei Cloud, announcing Pangu Models 3.0. [Dongguan, China, July 7, 2023] The annual HUAWEI Developer Conference — HDC.Cloud 2023 for this year — officially kicked off in Dongguan, China on July 7, with branch sites in more than 30 cities across China and over 10 countries globally. Developers from all over the world have been invited to attend this event, either in person or online, to discuss the booming AI industry, the new opportunities it has created, its latest applications, and their experiences working with AI. During his keynote speech on the afternoon of July 7, Mr. Zhang Ping'an, Huawei's Executive Director and CEO of Huawei Cloud, announced the launch of Huawei Cloud Pangu Models 3.0 and Ascend AI cloud services. Guided by its three stated purposes — reshaping industries, honing technologies, and sharing success — Pangu Models 3.0 will focus on building up core competitiveness and helping customers, par

HUAWEI AT MWC SHANGHAI 2023:BOOSTING 5G EVOLUTION TOWARDS 5.5G REVITALIZE THE DIGITAL ECONOMY

Image
Huawei has shown up in full force for MWC Shanghai 2023, with their activities all falling under their theme of "GUIDE to the Intelligent World". This year, the company's activities include an experiential tour that takes audiences to multiple cities to learn about their technology and business, as well as the launch of its newest innovative products and solutions for 5GigaGreen, 5G intelligent core networks, Intelligent OptiX Networks, private line + X products, and other intelligent digital transformation solutions. At these activities, Huawei will also host numerous roundtables and dialogues with global operators, industry partners, and opinion leaders, to explore a variety of topics which include speeding up 5G prosperity, advancing intelligent digital transformation, and striding towards the 5.5G era to realize business, industry, and social value. The company says its goal is to create new value for customers and revitalize the digital economy through sustained

HUAWEI ANNOUNCES SWITCH TO METAERP,REDEFINING ENTERPRISES 'CORE BUSINESS SYSTEMS

Image
  Recognizing Huawei's partners at the MetaERP Award Ceremony Huawei announced that it has replaced the legacy ERP system with its MetaERP system over which it has full control. Today, Huawei hosted the MetaERP Award Ceremony to recognize the individuals and teams who made critical contributions to this project. The event titled "Heroes Fighting to Cross the Dadu River" was held at the company's Xi Liu Bei Po Village Campus in Dongguan, China. ERP (Enterprise Resource Planning) is the most critical enterprise management IT system. Huawei introduced the MRP (Manufacturing Resource Planning) II system in 1996, and later expanded to the ERP systemwith several iterative upgrades. The old ERP system was the core system underpinning Huawei's enterprise operations and rapid development for more than 20 years. It supported Huawei's efficient business operations, which generate hundreds of billions of dollars every year, across more than 170 countries and regions w

HUAWEI AIMS TO USE ITS  “4T”  TECHNOLOGIES TO ENABLE AN ENERGY LANDSCAPE TRANSITION OF 'FROMENERGY CONSUMER TO SUSTAINABLE ENERGY PRODUCER AND ENABLER'

Image
President of Huawei Sub Saharan Africa ,Leo Chen Huawei has successfully held the FusionSolar Forum 2023 at the sidelines of the Africa Solar Show 2023 last week in Johannesburg. Industry associations,sector organisations, industry leaders and experts gathered to share industry trends and insights and presented innovative solutions and best practices which will contribute to the development of the industry on the continent. Leo Chen, President of Huawei Sub Saharan Africa, said that the quest for global carbon neutrality, energy security, and commercial value are driving the rapid development of a new international energy industry. The urgency of Africa’s own transition is being accelerated by power shortages and rising energy prices.Leo Chen indicated that in facing these challenges, Huawei as a leading ICT company, can be part of the solution. “With a heavy investment in R&D, we’ve developed the most comprehensive set of technologies in ICT, and this forms our unique advantage

TANZANIA YANG’ARA DUNIANI MATUMIZI YA TEHAMA SERIKALINI.

Image
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopiga hatua kubwa katika matumizi ya TEHAMA kwa kushika nafasi ya 26 kidunia na ya pili barani Afrika baada ya Mauritius. Hayo yamebainishwa kwenye utafiti uliofanywa na Benki ya Dunia (WB) kuhusu ukomavu wa matumizi ya Teknolojia duniani katika utoaji wa huduma za serikali na ushirikishwaji wa wananchi (GovTech Maturity Index) Ripoti hiyo ambayo inatokana na utafiti uliofanyika mwaka 2022 katika nchi 198 duniani, inabainisha kuwa Tanzania imefanikiwa kupanda daraja kutoka kundi B hadi kundi A na kushika nafasi ya 26 ikilinganishwa na mwaka 2021 ambapo ilishika nafasi ya 90. Kwa upande wa Afrika, utafiti huo ulihusisha nchi 49 ikiwemo Tanzania na matokeo yamebaini kuwa, matumizi ya TEHAMA nchini yamepanda na kufikia asilimia 0.86 wakati Mauritius ina asilimia 0.864.Tanzania imepanda kutoka nafasi ya tano mwaka 2021 ambapo ilikuwa nyuma ya Afrika Kusini, Ghana, Kenya and Rwanda hadi nafasi ya pili mwaka 2022. Katika ukanda wa Afrika Mas

EWURA YATOA ELIMU KWA MADIWANI WA JIJI LA DODOMA KUHUSU UMUHIMU WA MATUMIZI YA VYANZO MBADALA VYA MAJI.

Image
Mkurugenzi wa Maji na Usafi wa Mazingira EWURA, Mhandisi Exaudi Fatael,akizungumza wakati akifungua mkutano wa madiwani wa jiji la Dodoma  kuhusu umuhimu wa matumizi ya vyanzo mbadala vya maji jijini hapa kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) uliofanyika leo Mei 12,2023 jijini Dodoma. Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mhe. Prof Davis Mwamfupe,akizungumza wakati wa  mkutano wa madiwani wa jiji la Dodoma  kuhusu umuhimu wa matumizi ya vyanzo mbadala vya maji jijini hapa ulioandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) uliofanyika leo Mei 12,2023 jijini Dodoma. Meneja wa EWURA Kanda ya Kati Mhandisi Martin Maurus,aakitoa neno la utambulisho wakati wa  mkutano wa madiwani wa jiji la Dodoma  kuhusu umuhimu wa matumizi ya vyanzo mbadala vya maji jijini hapa ulioandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) uliofanyika leo Mei 12,2023 jijini Dodoma.   Sehemu ya Madiwani wakifatilia Mkutan

WAZIRI SIMBACHAWENE AITAKA WIZARA YA AFYA KUONGEZA JITIHADA KWENYE MAGONJWA YA MLIPUKO

Image
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera ,Bunge na Uratibu Mhe George Simbachawene,akizungumza leo leo Machi 22,2023 ,Jijini Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango shirikishi wa Taifa wa kuzuia na kukabiliana na kipindupindu wa mwaka 2023-2027 wenye kauli mbiu isemayo "Ushirikiano wa Kisekta ni mkakati sahihi wa kuzuia ,kukabiliana na kutokomeza kipindupindu nchini Ifikapo mwaka 2030,". Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera ,Bunge na Uratibu Mhe George Simbachawene, akibonyeza kitufe katika kompyuta kuashiria uzinduzu mpango shirikishi wa Taifa wa kuzuia na kukabiliana na kipindupindu wa mwaka 2023-2027 wenye kauli mbiu isemayo "Ushirikiano wa Kisekta ni mkakati sahihi wa kuzuia ,kukabiliana na kutokomeza kipindupindu nchini Ifikapo mwaka 2030,". Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel akizungumza leo Machi 22,2023 ,Jijini Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango shirikishi wa Taifa wa kuzuia na kukabiliana na kipindup