TPHPA YAFANIKIWA KUFANYA UCHAMBUZI WA VIATILIFU 1025

 


Na.Winner Marawiti,

Mamlaka ya Afya ya Mimea  na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imesema Katika mwaka wa fedha 2022/23, imefanya uchambuzi wa  viuatilifu 10,25 (analysis of pesticide samples) ambapo  sampuli 1005 sawa na asilimia (98.04%) zilikidhi viwango huku sampuli 20(1.96%) ambazo zimeonesha kutokidhi viwango.


Hayo yamesemwa  na Dkt .Joseph Ndunguru wakati akitoa taarifa ya Utekelezaji wa shughuli za Mamlaka Hiyo Jijini Dodoma na kusema Jumla ya viuatilifu vipya 409 na kampuni za ufukizaji 198 vilisajiiliwa huku Vibali vya shehena za viuatilifu 1324 vyenye ujazo wa lita 58,379,97.98 na kilogram 3,880,772.77 ambapo Jumla ya vibali vya maduka 802 vilitolewa kwa wafanyabiashara wa Viuatilifu.

''Jumla ya viuatilifu vipya 409 na kampuni za ufukizaji 

198 vilisajiiliwa Vibali vya shehena za viuatilifu 1324; ujazo wa lita 58,379,97.98 na kilogram 3,880,772.77 Mapato kiasi cha TZS Bilioni 3.06 Jumla ya vibali vya maduka 802 vilitolewa kwa wafanyabiashara wa Viuatilifu''Amesema Ndunguru.

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAZIDI KUJIIMARISHA KUPUNGUZA MADHARA YATOKANAYO NA MAAFA.

HUAWEI ANNOUNCES SWITCH TO METAERP,REDEFINING ENTERPRISES 'CORE BUSINESS SYSTEMS

TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA(TCU) KUBORESHA MFUMO WA UBORESHAJI ELIMU YA JUU.